close

Je, Kuna Maneno Mengine ya Mungu Kando ya Yale Yaliyo kwenye Biblia

Biblia inasema, "Kisha nikaona katika mkono wa kuume wake yeye aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma, kilichofungwa kwa mihuri saba" (Ufunuo 5:1). "Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa; Kwa yule ashindaye nitampa mana iliyofichwa aile" (Ufunuo 2:17). Kulingana na Biblia, Bwana atakaporudi katika siku za mwisho Atafungua kitabu, afungue mihuri saba na ampe mwanadamu mana iliyofichwa. Lakini wachungaji na wazee wengine wa ulimwengu wa kidini wanaamini kuwa maneno yote ya Mungu yameandikwa katika Biblia na kuwa hakuna maneno mengine ya Mungu kando ya yale yaliyo kwenye Biblia. Je, mtazamo wa aina hiiunalinganana ukweli? Je, kwa kweli hakuna maneno mengine ya Mungu kando ya yale yaliyo kwenye Biblia? Video hii fupi itakuangazia maswali haya.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.  https://reurl.cc/e9aOm

43786444_259060081461722_1691608955844820992_n.jpg

Gibt es noch andere Worte Gottes neben dem, was in der Bibel ist

Die Bibel sagt: " dann sah ich in der Hand seines rechts. Er, der auf dem, was der Thron geschrieben hat, in und hinter sich, geschlossen auf sieben Jahre " (Offenbarung 5:1). " wer ein Ohr hat, und hörte das Wort, das der Geist zu den Kirchen gesagt hat; zu dem, der gewinnt, werde ich ihm einen Sinn verborgen geben " (Offenbarung 2:17) laut der Bibel wird der Herr in den letzten Tagen wieder das Buch öffnen, sieben Mihuri öffnen und ihm ein menschliches Wesen geben. Aber die Pastoren und die anderen ältesten der religiösen Welt glauben, dass alle Worte Gottes in der Bibel geschrieben worden sind und dass es keine anderen Worte Gottes gibt, außer dem, was in der Bibel steht. Ist die Einstellung der Art der Wahrheit? Sind es eigentlich keine anderen Worte Gottes außer dem, was in der Bibel ist? Dieses kurze Video wird diese Fragen stellen.

Besondere Aussage: Diese Video-Produktion wurde als non-Profit-Projekt von der Kirche Gottes gemacht. Die Zeichen erscheinen in dieser Produktion auf der Grundlage der Suche nach nutzen, und sie werden nicht in irgendeiner Weise bezahlt. Dieses Video wird nicht an jemand anderen im Interesse des Nutzens weitergegeben, und es ist unsere Hoffnung, dass jeder teilen wird, um geteilt und öffentlich geteilt zu werden. Wenn du es teilst, hör bitte auf ihre Quelle. Ohne die Zustimmung der Kirche Gottes gibt es keine Organisation, eine soziale Gruppe oder eine persönliche Person, die den Inhalt dieses Videos ändern oder schikanieren kann.
https://reurl.cc/e9aOm

arrow
arrow
    全站熱搜
    創作者介紹
    創作者 人間過客 的頭像
    人間過客

    a118390的部落格

    人間過客 發表在 痞客邦 留言(0) 人氣()