교회 만담 <막을 수 없는 사랑> 중국 정부의 천망 공정도 하나님을 사랑하는 마음은 막을 수 없다
이 만담은 중국 정부가 크리스천들을 탄압하기 위해 시작된 최고 감시 시스템 ‘천망 공정’을 주제로 현 상황을 전달하고 있으며, 그런 감시 시스템일지라도 하나님을 사랑하고 광명을 지향하는 마음만은 막지 못하는 현실을 보여주고 있다.


추천 영상:
교회 만담 <하나님 이름의 비밀> 주께서 재림하셔도 그대로 예수라고 불리시는가?
https://youtu.be/edI7zS9sZDo
교회 단막극 <망상> 힘써 사역하면 천국에 갈 수 있나요?
https://youtu.be/RsLW-kglC_8
기독교 단막극 <앞사람의 교훈> (한국어 더빙)
https://youtu.be/w9aE4-3WUGE
교회 만담 <잘못된 길> 하나님의 음성에 귀를 기울여야 길 잃지 않는다
https://youtu.be/sIvHzipYIAQ
교회 만담 <가시밭길> 십자가를 지고 주를 따르리
https://youtu.be/pQJkTSBYR9A
교회 만담 <깨어남> 주님이 문을 두드리시니 맞으러 나오라
https://youtu.be/VnV3bOj1JBk

[동방번개] 전능하신 하나님 교회는 재림하신 예수님, 곧 말세의 그리스도이신 전능하신 하나님의 나타나심과 사역으로 인해 생겼고, 전능하신 하나님의 말세 사역을 받아들여 하나님의 말씀에 정복되고 구원받은 모든 사람으로 구성되어 있습니다. 본 교회는 완전히 전능하신 하나님께서 친히 세우신 것이자 전능하신 하나님께서 친히 인솔하시고 목양하시는 것이지 절대 어떤 한 사람이 세운 것이 아닙니다. 그리스도는 곧 진리ㆍ길ㆍ생명이십니다. 하나님의 양은 하나님의 음성을 알아듣습니다. 전능하신 하나님의 말씀을 보시면 하나님께서 이미 나타나셨음을 알 수 있습니다.

[참고사항: 본 영상은 전능하신 하나님 교회에서 제작한 공익 영상입니다. 영상에 등장하는 연기자는 무료로 출연한 것이고 어떤 보수도 받지 않았습니다. 본 영상물은 무료로 배포하실 수 있으며, 그럴 경우 반드시 출처를 밝혀 주시기 바랍니다. 전능하신 하나님 교회의 동의 없이 그 어떤 조직이나 단체 혹은 개인은 본 영상을 수정하거나 왜곡해서는 안 됩니다.]

이 영상의 내용은 번역 전문가가 번역했습니다. 그러나 언어 차이나 여러 가지 이유로 인해 정확하지 않은 부분이 있을 수 있음을 알려 드립니다. 문제를 발견하신 경우, 되도록 중국어 원문을 참조하시기 바라며, 저희에게 알려 주신다면 다음 번역에 잘 반영하겠습니다.

전능하신 하나님 교회 앱
App Store: https://itunes.apple.com/kr/app/the-c...
Google Play: https://play.google.com/store/apps/de...

전능하신 하나님 교회:https://kr.godfootsteps.org
하나님나라 강림 복음 사이트: https://kr.kingdomsalvation.org
E-mail : godfootsteps.kr@gmail.com
연락처 : 070-7516-7062 /1566-2851
https://reurl.cc/VLaDN

擷取53.JPG

 

 

 

 

𝗪𝗶𝘀𝘀𝗲𝗻 𝗦𝗶𝗲, 𝘄𝗶𝗲 𝗚𝗼𝘁𝘁 𝗜𝗵𝗿𝗲 𝗚𝗲𝗯𝗲𝘁𝗲 𝗯𝗲𝗮𝗻𝘁𝘄𝗼𝗿𝘁𝗲𝘁?

Viele Brüder und Schwestern im Herrn haben solche Konfusionen: „Ich bete immer aufrichtig zum Herrn, aber es scheint, dass der Herr meine Gebete nicht erhört und beantwortet.“ Das verwirrt uns oft. Wie kann das passieren? Ist es nicht der Herr, der Gebete erhört? Wir beten aufrichtig, warum also bekommen wir keine Antwort vom Herrn? Bevor wir nach dem Grund suchen, lasst uns zunächst die folgenden Fragen in Anbetracht ziehen: Wie wollen wir, dass Gott unsere Gebete beantwortet? Wissen wir, wie Gott unsere Gebete beantwortet? Wenn wir nicht wissen, wie Gott unsere Gebete beantwortet, ist es dann möglich Gottes Antwort zu verpassen?
👇👇❤️❤️🤔🤔
https://www.bibel-de.org/Gebete-beantwortet.html

Ich las kürzlich einen Satz der folgendes beschrieb: „Wenn du zu Gott schaust ist es möglich, dass Er dir kein Gefühl und keine klaren Ideen vermittelt, geschweige denn klare Anweisungen gibt. Aber Er erlaubt uns, etwas zu verstehen. Oder vielleicht haben wir dieses Mal nichts verstanden. Aber, ist es dann richtig zu Gott zu schauen? Ist es falsch? Nein, es ist nicht falsch. Menschen, die auf diese Weise praktizieren folgen nicht den Regeln, sondern folgen den Bedürfnissen ihrer Herzen. Das ist die Art und Weise die der Mensch anwenden sollte um zu üben. Es ist nicht so, dass wir jedes Mal, wenn wir zu Gott schauen und ihn rufen, Erleuchtung und Führung erhalten können. Diese Art von geistigem Zustand im Leben ist normal und ganz natürlich. Zu Gott aufschauen ist der normale Kontakt der Menschen die Gott in ihren Herzen tragen.“

„Manchmal bedeutet das Aufschauen zu Gott nicht dass man klar spricht wenn man zu Gott betet, um Ihn um etwas zu bitten. Oder wenn wir Ihn bitten uns in irgendeiner Weise zu leiten. Oder wenn wir Ihn um Schutz bitten. Vielmehr ist es so, dass wir uns an Gott wenden können wenn wir Probleme haben. Nun, wie handelt Gott dann? Wenn das Herz eines Menschen berührt ist und er Gedanken wie: ‚Oh mein Gott, ich kann das nicht selbst, ich weiß nicht, wie man es macht und ich bin schwach und entmutigt’, wenn diese Gedanken in ihm auftauchen, weiß Gott wirklich nichts davon? Sind die Herzen der Menschen aufrichtig, wenn diese Gedanken aufkreuzen? Wenn sie Gott auf diese Weise aufrichtig rufen, willigt Gott dann ein, ihnen zu helfen? Trotz der Tatsache, dass sie kein Wort gesprochen haben, zeigen sie Aufrichtigkeit, und so willigt Gott ein, ihnen zu helfen.“

52412089_598564127285274_281978892338593792_o.jpg

 

 

 

 

📖📚Soma zaidi:

23. Ufahamu wa Kuokolewa

Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong

Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha furaha ya familia yangu na mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisani. Kwa hiyo niliamini: Mradi tu nisiache kazi katika kanisa ambayo nimeaminiwa, nisimsaliti Mungu, nisiache kanisa, na kumfuata Mungu hadi mwisho, nitahurumiwa na kuokolewa na Mungu. Niliamini pia kuwa nilikuwa nikitembea katika njia ya wokovu na Mungu, na yote niliyokuwa niyafanye ni kumfuata Yeye mpaka mwisho.

Lakini siku chache zilizopita, niliona maandishi fulani kutoka kwa mahubiri ya mtu “Ni Wale Tu Ambao Wanapata Ukweli na Kuingia Katika Uhalisi ndio Wanaookolewa Kweli": "Kuokolewa na Mungu si rahisi kama watu wanavyofikiria. Lazima tutegemee hukumu na kuadibu pamoja na majaribio na usafishaji kutoka kwa neno la Mungu katika kila hatua ya uzoefu wetu. Lazima tufuate kwa makini kila hatua ya kazi ya Mungu, na hatimaye kupata ukweli na kufikia mabadiliko katika tabia kuwa kiumbe kipya, na kuwa na uwezo wa kutegemea ukweli ili kushinda dhidi ya Shetani na kuvuka mipaka ya dhambi. Lazima tuwe na uwezo wa kuishi kwa ufahamu kwa kutegemea maneno ya Mungu, kumtii Mungu kikamilifu na kulingana na Yeye. Huku tu ndiko kushinda Shetani kwa kweli, kuvuka mipaka ya dhambi, na kupatwa na Mungu. Ikiwa tunaweza kufikia matokeo haya kutokana na kupitia kazi ya Mungu, basi huku tu ndiko kuokolewa na Mungu kwa kweli." "Katika njia ya kutafuta ukweli na kufikia wokovu na Mungu, kuna bado matatizo mengi na vikwazo, kama vile familia kuvunjika, maafa ya asili na ya kuletwa na mwanadamu—kila aina ya jaribio na matatizo ambayo lazima watu wapitie. Kwa hakika sio safari nyororo, na ikiwa watu hawana ukweli, hawawezi kusimama imara, uwezekano wa kumsaliti Mungu ni 100%." Baada ya kusoma hili, nilihisi kama kwamba nilikuwa nikiamka kutoka ndotoni. Kwa hiyo, kuokolewa na Mungu hakukuwa rahisi kama nilivyokuwa nimefikiri hata hivyo; inategemea watu kupitia kazi na maneno ya Mungu kila hatua ya njia, kukubali kuadibu na hukumu ya Mungu, ushughulikiaji na upogoaji, pamoja na kupitia machungu ya kila aina ya maudhi na kero. Ili waweze kufikia ufahamu halisi wa tabia zao potovu na hatua kwa hatua kujiondolea upotovu, na hatimaye waweze kutegemea maneno ya Mungu na kutegemea ukweli kumshinda Shetani na kuvuka mipaka ya nguvu za giza katika kila aina ya mazingira. Kufikia matokeo haya tu ndio kuokolewa na Mungu kwa kweli. Lakini kulinganisha hili na hali yangu halisi, nilikuwa mbali na kufikia matokeo hayo. Kulikuwa na nyakati nyingi sana ambazo hata ingawa nilijua kufuatilia sifa na hadhi haikukubaliwa na Mungu, nilikuwa bado ninajishirikisha katika kufuatilia vitu hivi, na nilikuwa hasi na dhaifu wakati sikuvipata. Ningepoteza motisha yangu kufuatilia ukweli na kuanguka gizani ambamo singeweza kujinasua. Kulikuwa na nyakati nyingi sana ambazo hata ingawa nilijua kumwamini Mungu kunamaanisha napaswa kufuatilia ukweli ili kulipiza upendo Wake na kuwa singeweza kufanya shughuli na Mungu, niliona siku ya Mungu ilikuwa imechelewa sana kuja na nikabeba uhasi ndani yangu. Nguvu zangu za nyakati za awali zilipotea tu bila ya kupatikana, na nilikuchukulia kutimiza kazi yangu ovyoovyo. Nilipokumbana na shida katika kazi yangu, ingawa nilijua kuwa hii ilikuwa Mungu akinifanyisha kupitia shida, ndani nilikuwa bado nimejaa kutoelewa na malalamiko kwa Mungu. Nilihisi kuwa kumwamini Mungu kulikuwa kugumu sana, kwa kuchosha sana, na kila mara nilitaka kutoroka, na hata kuacha kazi yangu. Kulikuwa na nyakati nyingi sana ambazo hata ingawa nilijua mazingira na watu wote, masuala, na vitu vilivyonizunguka vilipangwa na Mungu ili kunikamilisha, na kuwa napaswa kutafuta ukweli kutoka kwa vitu hivi, nilipokabiliana na mtu, suala au kitu ambacho hakikuwa sawa na dhana zangu, kila mara ningekipinga na sikutaka kukubali. Nilipowaona watu wengine na familia zenye furaha ilhali nilikuwa nimeachwa na wapendwa wangu na sikuwa na mahali pa kupumzika, mara nyingi nilihisi huzuni na maumivu kutokana na hili, kwa kiasi kwamba mara kadhaa nilitaka kuondoka kwa Mungu. ... Hata hivyo, bado nilidhani kuwa nilikuwa nimechukua njia ya wokovu wa Mungu muda mrefu uliopita. Nikitazama hali zote hizi halisi, ningewezaje kuwa na kimo cha kweli hata kidogo? Nilipokumbwa tu na majaribio fulani madogo au kuvunjwa moyo, nilikuwa katika hatari ya kujikwaa, bila kutaja kuwa na uwezo wa kusimama imara katikati ya dhiki kubwa na mateso. Wakati huo nikaona kuwa ingawa nilikuwa nimemfuata Mungu kwa miaka mingi bila kukata tamaa, sikuwa nimeshika ukweli hakika, na tabia yangu ya maisha haikuwa imebadilika hata kidogo. Nilikuwa bado nikiishi chini ya ushawishi wa giza wa Shetani na nilikuwa mhusika wa ulaghai na utawala wake. Hii ilikuwa mbali kabisa na kiwango cha kuokolewa kwa kweli na Mungu, lakini bado niliamini kuwa nilikuwa nimeingia katika njia ya wokovu kutoka kwa Mungu zamani na nilikuwa karibu kutosha—hii ilikuwa tu kujidanganya.

Ee Mungu, asante! Ilikuwa kupata nuru Kwako na mwongozo ndio uliniruhusu kuona hali yangu ya kweli kwa wazi na kunifanya kuelewa ni nini wokovu wa kweli, kubadilisha maarifa yangu ya uwongo kutoka zamani. Pia ilinifanya nielewe kuwa kama sipati ukweli au kuwa na mabadiliko katika tabia yangu ya maisha, bila kujali miaka mingapi nimemwamini Mungu, sitapata idhini Yako. Kuanzia leo na kuendelea mbele, niko radhi kutunza tunu hii ya wakati ili kujiandaa na ukweli zaidi, na kupitia uzoefu wa kazi Yako, nitajiondolea tabia yangu potovu. Nitaishi kulingana na maneno Yako na kukutii kabisa, na kufikia wokovu wa kweli kupitia Kwako.

Iliyotangulia:Maneno ya Mungu Yameniamsha

Inayofuata:Niliona Kimo Changu cha Kweli kwa Dhahiri

Unaweza Pia Kupenda

 
Roho Mtakatifu Hufanya Kazi kwa Njia yenye Maadili

Qin Shuting Jijini Linyi, Mkoani Shandong Kwa muda fulani, ingawa sikuwa nimeacha kula na kunywa manen0 ya Mungu, sikuhisi mwanga kamwe. Nilikuwa nimeomba... Maandishi Yote

 
Kanuni Zangu za Maisha Ziliniacha Nikiwa Nimeharibika

Changkai Mji wa Benxi, mkoa wa Liaoning Maneno ya kawaida 'Watu wazuri humaliza wakiwa wa mwisho' ni ambayo mimi binafsi ninayafahamu sana. Mimi na mume... Maandishi Yote

 
Nilipitia Wokovu wa Mungu

Cheng Hao    Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan Kwa neema ya Mungu, mimi na mke wangu tulipandishwa vyeo hadi kwa timu ya injili ya pili ili kutimiza... Maandishi Yote

 
Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo.... Maandishi Yote

 
arrow
arrow
    全站熱搜
    創作者介紹
    創作者 人間過客 的頭像
    人間過客

    a118390的部落格

    人間過客 發表在 痞客邦 留言(0) 人氣()