Neno la Mungu | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu (Sehemu ya Pili)
Mwenyezi Mungu anasema: "Punde tu kazi ya ushindi imekwisha kamilika, mwanadamu ataletwa katika dunia nzuri. Haya maisha, bila shaka, bado yatakuwa duniani, lakini yatakuwa tofauti kabisa na jinsi maisha ya mwanadamu yalivyo leo. Ni maisha ambayo mwanadamu atakuwa nayo baada ya wanadamu kwa ujumla kushindwa, itakuwa mwanzo mpya kwa mwanadamu hapa duniani, na kwa wanadamu kuwa na maisha kama hii ni ushahidi kwamba wanadamu wameingia katika milki jipya na nzuri. Itakuwa mwanzo wa maisha ya mwanadamu na Mungu duniani. Nguzo ya maisha mema kama haya ni lazima iwe hivyo, hivi kwamba baada ya mwanadamu kutakaswa na kushindwa, anajiwasilisha mbele za Muumba. Na kwa hivyo, kazi ya ushindi ni awamu ya mwisho ya kazi ya Mungu kabla ya wanadamu kuingia katika hatima ya ajabu. Maisha kama haya ni maisha ya baadaye ya mwanadamu duniani, ni maisha yanayopendeza zaidi duniani, aina ya maisha ambayo mwanadamu ametamania, aina ambayo mwanadamu hajawahi kamwe kutimiza katika historia ya ulimwengu. Ni matukio ya mwisho ya miaka 6,000 ya kazi ya usimamizi, na ndicho wanadamu wanatamani sana, na pia ni ahadi ya Mungu kwa mwanadamu."
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Das Wort Gottes | um das gemeinsame Leben eines Menschen wiederherzustellen und es zu einem wunderbaren Schicksal zu bringen (zweiter Teil)
Allah sagt: " wenn das Werk des Sieges beendet ist, wird der Mensch in eine gute Welt gebracht werden. Dieses Leben wird natürlich immer noch in der Welt sein, aber es wird völlig anders sein und wie ein menschliches Leben heute ist. Es ist ein Leben, das ein Mensch nach dem Menschen im allgemeinen Versagen haben wird, es wird ein neuer Anfang für einen Menschen hier in der Welt, und für Menschen, ein Leben wie diese zu haben, ist ein Beweis dafür, dass Menschen in einen neuen Besitz eingetreten sind. Und gut. Es wird der Anfang des Lebens eines Menschen und Gottes in der Welt sein. Die Säule des guten Lebens, wenn dies ein muss sein, das ist, dass, nachdem ein menschliches Wesen von einem Versagen gefangen wird, vor dem Schöpfer. Und so ist das Werk des Sieges die letzte Phase der Arbeit Gottes vor den Menschen, um ein erstaunliches Schicksal zu betreten. Das Leben wie dieses ist das zukünftige Leben des Menschen in der Welt, es ist ein Leben, das am schönsten auf der Welt ist, eine Art Leben, das ein Mensch getan hat, der Typ, den ein Mensch nie in der Lage war, es zu tun. Sind die letzten Momente der 6,000 Jahre des Managements des Managements, und das wünschen die Menschen euch so sehr, und es ist auch ein Versprechen Gottes für einen Menschen."
Der Östliche Strom, die Kirche Gottes wurde gegründet, weil er durch die Arbeit Gottes gesehen wurde, die zweite Ankunft des Herrn Jesus, dem Christus der letzten Tage. Er teilt all jene, die die Arbeit Gottes in den letzten Tagen akzeptieren und die durch seine Worte besiegt und gerettet wurden. Er wurde von Allah gegründet und wird von ihm als Pastor geleitet. Er wurde nicht von einem Mann geboren. Christus ist die Wahrheit, der Weg und das Leben das Schaf Gottes hört die Stimme Gottes. Das Projekt liest die Worte Gottes, sie werden sehen, dass Gott gesehen wurde.
Besondere Aussage: Diese Video-Produktion wurde von der Kirche Gottes als non-Profit-Projekt gemacht. Dieses Video wird nicht an jemand anderen im Interesse des Nutzens weitergegeben, und es ist unsere Hoffnung, dass jeder teilen wird, um geteilt und öffentlich geteilt zu werden. Wenn du es teilst, hör bitte auf ihre Quelle. Ohne die Zustimmung der Kirche Gottes gibt es keine Organisation, eine soziale Gruppe oder eine persönliche Person, die den Inhalt dieses Videos ändern oder schikanieren kann.
https://www.facebook.com/EasternLightningsw/videos/544973615955698/