"Jina la Mungu Limebadilika?!" (3) - Umuhimu wa Jina la Mungu
"Yehova" na "Yesu" yalikuwa ni majina ya Mungu katika Enzi ya Sheria na Enzi ya Neema, na imetabiriwa katika Ufunuo kuwa Mungu atakuwa na jina jipya katika siku za mwisho. Ni kwa nini Mungu anaitwa kwa majina tofauti katika enzi mbalimbali? Majina haya mawili ya "Yehova" na "Yesu" yana umuhimu gani? Video hii fupi itakusaidia kukutatulia fumbo hili.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii. https://reurl.cc/V3xVb
" der Name Gottes hat sich geändert?!" (3) - Bedeutung von Gottes Namen
" Jehova " und " Jesus " waren die Namen Gottes in der Ära des Gesetzes und der Ära der Gnade, und wurde in der Offenbarung gesegnet, dass Gott in den letzten Tagen einen neuen Namen haben wird. Warum hat Gott in verschiedenen Zeiten verschiedene Namen gefordert? Diese beiden Namen von " Jehova " und " Jesus " was ist denn los? Dieses kurze Video wird dir helfen, dieses Rätsel zu treffen.
Besondere Aussage: Diese Video-Produktion wurde als non-Profit-Projekt von der Kirche Gottes gemacht. Die Zeichen erscheinen in dieser Produktion auf der Grundlage der Suche nach nutzen, und sie werden nicht in irgendeiner Weise bezahlt. Dieses Video wird nicht an jemand anderen im Interesse des Nutzens weitergegeben, und es ist unsere Hoffnung, dass jeder teilen wird, um geteilt und öffentlich geteilt zu werden. Wenn du es teilst, hör bitte auf ihre Quelle. Ohne die Zustimmung der Kirche Gottes gibt es keine Organisation, eine soziale Gruppe oder eine persönliche Person, die den Inhalt dieses Videos ändern oder schikanieren kann.
https://reurl.cc/V3xVb
- Nov 06 Tue 2018 21:51
"Jina la Mungu Limebadilika?!" (3) - Umuhimu wa Jina la Mungu "Yehova" na "Yesu" yalikuwa ni majina ya Mungu katika Enzi ya Sheria na Enzi ya Neema,........
close
全站熱搜
留言列表