close

“Jina la Mungu Limebadilika?!” (4) - Ni Kwa Nini Bwana Aliyerejelea Amechukua Jina la "Mwenyezi Mungu"?

Biblia inatabiri, "Nitaliandika jina la Mungu wangu juu yake, na jina la mji wa Mungu wangu, ambao ni Yerusalemu mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wangu: na nitaliandika juu yake jina langu jipya" (Ufunuo 3:12). "you shall be called by a new name, which the mouth of the LORD shall name" (Isaiah 62:2). Katika siku za mwisho, Mungu anaonekana kwa mwanadamu kwa jina la "Mwenyezi Mungu," anafanya kazi Yake ya hukumu akianzia nafamilia ya Mungu na kufichua tabia Yake ya haki, ya uadhama na ghadhabu. Umuhimu wa jina la "Mwenyezi Mungu" ni mkubwa sana; je, unajua umuhimu wa jina hili ni upi? Video hii itakupa jibu. https://reurl.cc/v5YOk

43785111_327569158028563_1983918047689179136_n.jpg

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

" der Name Gottes hat sich geändert?!" (4) - warum der Herr zurückgekehrt ist, hat den Namen von " Allah " genommen.

Die Bibel wird informiert: "ich werde den Namen meines Gottes auf ihn schreiben, und den Namen der Stadt meines Gottes, der ein neues Jerusalem ist, viel vom Himmel zu meinem Gott : und ich habe auf ihn meinen neuen Namen geschrieben" (Offenbarung 3:12). " Du wirst von einem neuen Namen genannt werden können, der der Mund des Herrn ist. (62:2). In den letzten Tagen ist Gott für ein menschliches Wesen im Namen von " Allah " sichtbar. ," er macht seine Arbeit des Urteils, um die Familie Gottes zu beginnen und sein wahres Verhalten, vom Zorn und Zorn zu enthüllen. Die Bedeutung des namens "Allah" ist so groß; was wissen sie über die Bedeutung dieses namens? Dieses Video wird dir eine Antwort geben.

Besondere Aussage: Diese Video-Produktion wurde als non-Profit-Projekt von der Kirche Gottes gemacht. Die Zeichen erscheinen in dieser Produktion auf der Grundlage der Suche nach nutzen, und sie werden nicht in irgendeiner Weise bezahlt. Dieses Video wird nicht an jemand anderen im Interesse des Nutzens weitergegeben, und es ist unsere Hoffnung, dass jeder teilen wird, um geteilt und öffentlich geteilt zu werden. Wenn du es teilst, hör bitte auf ihre Quelle. Ohne die Zustimmung der Kirche Gottes gibt es keine Organisation, eine soziale Gruppe oder eine persönliche Person, die den Inhalt dieses Videos ändern oder schikanieren kann.
https://reurl.cc/v5YOk

arrow
arrow
    全站熱搜
    創作者介紹
    創作者 人間過客 的頭像
    人間過客

    a118390的部落格

    人間過客 發表在 痞客邦 留言(0) 人氣()