"Jina la Mungu Limebadilika?!" (2) - Je, ni Kweli kuwa Jina la Mungu Haliwezi Kubadilika?

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa kidini mara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa jina la Bwana Yesu haliwezi kamwe kubadilika na kuwa ni kwa kutegemea tu jina la Bwana Yesu ndio tunaweza kuokolewa. Je, mtazamo wa aina hii unaambatana na kuweli? Yehova Mungu alisema, "kabla yangu hakukuwa na Mungu aliyeumbwa, wala hakutakuwa baada yangu. Mimi, hata mimi, ni BWANA; na isipokuwa mimi hakuna mwokozi" (Isaya 43:10-11). Katika Enzi ya Neema, Mungu mwenye mwili alichukua jina la Yesu. Mungu hawezi kubadilika, hivyo jina Lake linawezaje kubadilia? Zaidi ya hayo, Ufunuo unatabiri kuwa Mungu atakuwa na jina jipya katika siku za mwisho, hivyo haya yote yanahusu nini? Watu wengi hawajui hili, lakini video hii fupi itakufichulia ukweli.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii. https://reurl.cc/Dvp9j

42835406_2205424526387664_8008769819715305472_n.jpg
" der Name Gottes hat sich geändert?!" (2) - stimmt es, dass sich Gottes Name nicht ändern kann?

Die Pastoren und ältesten der religiösen Welt tragen oft für die Gläubigen, dass der Name des Herrn Jesus sich nie ändern kann und dass es sich nur um den Namen des Herrn Jesus handelt, dass wir gerettet werden können. Ist die Einstellung dieser Art, die du sein musst? Er sagte: "vor mir wurde kein Gott erschaffen, und er wird nicht hinter mir her sein. Ich, selbst ich, ist der Herr ; und es sei denn, ich bin kein Retter" (Jesaja 43:10-11). Auf dem Thron der Gnade, Gott der Der Besitzer des Körpers hat den Namen Jesu genommen. Gott kann sich nicht ändern, also kann sich sein Name ändern? Mehr als das, die Offenbarung du stimmst zu, dass Gott in den letzten Tagen einen neuen Namen haben wird, also worum geht es hier? Die meisten Leute wissen das nicht, aber dieses kurze Video wird dir die Wahrheit sagen.

Besondere Aussage: Diese Video-Produktion wurde als non-Profit-Projekt von der Kirche Gottes gemacht. Die Zeichen erscheinen in dieser Produktion auf der Grundlage der Suche nach nutzen, und sie werden nicht in irgendeiner Weise bezahlt. Dieses Video wird nicht an jemand anderen im Interesse des Nutzens weitergegeben, und es ist unsere Hoffnung, dass jeder teilen wird, um geteilt und öffentlich geteilt zu werden. Wenn du es teilst, hör bitte auf ihre Quelle. Ohne die Zustimmung der Kirche Gottes gibt es keine Organisation, eine soziale Gruppe oder eine persönliche Person, die den Inhalt dieses Videos ändern oder schikanieren kann.

https://reurl.cc/Dvp9j

arrow
arrow
    全站熱搜
    創作者介紹
    創作者 人間過客 的頭像
    人間過客

    a118390的部落格

    人間過客 發表在 痞客邦 留言(0) 人氣()